Sala
Salamu Maria Mama wa Mungu
Kwaya ya VIWAWA Buhongwa"Salamu Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe. Umebarikiwa wewe kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa..."
Sikiliza nyimbo za kwaya, soma mashairi, na upate mwongozo wa sala mbalimbali za Kikatoliki
"Salamu Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe. Umebarikiwa wewe kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa..."