Kiroho
Ee Roho Mtakatifu Ushuke
Kwaya ya Ufufuko

"Ee Roho Mtakatifu ushuke kwetu, ujaze nyoyo za waamini wako na uwashe moto wa upendo wako ndani yao..."

Sala
Salamu Maria Mama wa Mungu
Kwaya ya VIWAWA Buhongwa

"Salamu Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe. Umebarikiwa wewe kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa..."

Liturujia
Ee Bwana Nimekimbilia Kwako
Kwaya Kuu Mt. Monica

"Ee Bwana nimekimbilia kwako, nisije nikaona haya milele. Katika haki yako unionyeshe njia yako na kuniokoa..."