Mlinzi: Familia Takatifu

Jumuiya ya Familia Takatifu

Jumuiya inayosisitiza amani, upendo, na malezi bora ya watoto na vijana kulingana na misingi ya Kikristo.


Eneo: Buhongwa Relini
Siku ya Sala: Alhamisi (Saa 10 Jioni)
Kiongozi: Mama Salome Juma
Mlinzi: Mt. Aloysius Gonzaga

Jumuiya ya Mt. Aloysius Gonzaga

Jumuiya inayowajumuisha vijana na familia nyingi kwa ajili ya kusali na kujenga misingi imara ya kiroho.


Eneo: Buhongwa Stoo
Siku ya Sala: Jumatano (Saa 11 Jioni)
Kiongozi: Ndugu Raymond Henry
Mlinzi: Mt. Kizito

Jumuiya ya Mt. Kizito

Jumuiya yenye historia ya ushirikiano mkubwa kwenye shughuli za parokia na huduma za kijamii.


Eneo: Katoro Mkabala
Siku ya Sala: Jumanne (Saa 11 Jioni)
Kiongozi: Mzee John Makoye