Unaweza kujiunga kwa kufika kwenye mikutano ya vijana ya jumuiya yako ndogo ndogo (JNN) au kuwasiliana moja kwa moja na viongozi wa vijana wa parokia kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano.
Pata majibu ya maswali mbalimbali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Parokia na VIWAWA Buhongwa