Viwawa ni chama cha Vijana Wakatoliki Wafanyakazi Tanzania, kwa lugha ya Kiingereza (Tanzania Young Catholic Workers Movement – T.Y.C.W), ni Chama cha Kitume cha Vijana ambao wanatumwa na Kanisa ili kuendeleza kazi aliyoianza Kristu Yesu. VIWAWA ni Chama cha Vijana na kinaendeshwa na Vijana wenyewe
VIWAWA Buhongwa
VIWAWA Buhongwa
VIWAWA Buhongwa
VIWAWA Buhongwa
VIWAWA Buhongwa
Uongozi wa Viwawa parokia ya Buhongwa unawaalika waumini wote kutoka parokia ya Buhongwa na parokia zingine kununua Tshirts maalum kwa ajili ya tukio la Harambee ya ujenzi wa kanisan itakayofanyika tarehe 26/04/2026. Harambee itafanyika eneo la ujenzi wa kanisa hilo Parokiani Buhongwa
Imewekwa: 2026-04-05 01:27:44Angalia matukio mbalimbali ya VIWAWA Buhongwa kwa picha:
Mweka hazina
Mr. Godfrey Dominic
+255 765 600 600
Mwenyekiti
Mr. Elikana Benedictor
+255 769 549 363
Mwenyekiti Msaidizi
Ms. Carolyne Majenga
+255 768 212 267
Katibu
Ms. Sefroza Miyaye
+255 662 718 071
Katibu Msaidizi
Ms. Theresia John
+255 761 870 055
Mhasibu
.
.
Wasiliana nasi kupitia njia zifuatazo au acha ujumbe wako: